Nguo inauzwa sh 10,000 we huna pesa ukaamuwa kukopa kwa Siz ukakopa 5000 na Bro 5000 ukapata sh.10000 ukaenda ukanunua kwa sh 9700 ukarudshwa sh.300 ukaamuwa kupunguza deni ukatoa sh.100 kwa Bro na 100 kwa Siz ukabaki na 100.
Ukabaki na deni kwa Siz sh.4900 na Bro sh 4900 Total deni ni sh.9800 ukiongeza na ile 100 yako inakuwa 9900 Je 100 nyingine imenda Wapi ?
No comments:
Post a Comment