Wednesday, February 15, 2017

YUSUPH MANJI KUPANDISHWA KIZIMBA KESHO

Yusuf Manji Kupandishwa Kizimbani Kesho

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji anatarajia kufikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam.

Taarifa zinasema, Manji anatarajia kufikishwa kesho asubuhi ingawa haijaelezwa atafikishwa kwa kosa lipi.

Manji ni kati ya wanaoshikiliwa baada ya kuwa wametajwa kwenye tuhuma za suala la madawa ya kulevya

No comments:

Post a Comment