Friday, June 10, 2016

AUAWA BAADA YA KUJERUHI MWENZAKE

   Kamanda wa Polisi Tarime/Rorya, Andrew Satta alisema Athuman aliuawa kwa kupigwa mawe na wananchi  Mkazi wa Kijiji cha Kerende,

   Kata ya Kemambo Nyamongo wilayani Tarime, George Athuman (27) ameuawa na wananchi baada ya kumjeruhi mtu kwa kumcharanga panga. Kamanda wa Polisi Tarime/Rorya, Andrew Satta alisema Athuman aliuawa kwa kupigwa mawe na wananchi Juni 6 saa sita mchana,

   Kitongoji cha Nyamikoma, Kata ya Matongo baada ya kumjeruhi Marengo Mwita (32), mkazi wa Kijiji cha Kewanja kwa kumcharanga kwa panga.

No comments:

Post a Comment