Monday, June 13, 2016

NDEGE YENYE TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU YAFANYA UPELELEZI UTURUKI

    Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria  ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa Syria na Uturuki, Kikosi cha Urusi kina

    uwezo wa kujua kila kinachoendelea upande wa Uturuki kwa kutumia hiyo ndege yenye uwezo wa hali ya juu Ndege hiyo ijulikanayo kama TU-214 spy imefika kituo cha Latakia kilichopo Syria siku chache zilizopita Ndege hiyo ina mfumo mzuri wa kuona vitu vya mbali na rada ambazo

    zinaweza kufuatilia harakati za kijeshi nchini Uturuki Tovuti ya Urusi imeweka wazi kwamba inapenda kujua kila kinachoendelea Uturuki

No comments:

Post a Comment