Tuesday, May 10, 2016

ALI KIBA KUACHIA WIMBO WAKE MPYA UITWAO ' AJE.

Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’ Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu. Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae.

No comments:

Post a Comment