Wanachama wa chama tawala cha Uturuki cha AK na chama kinachoungwa mkono na Wakurdi wamepigana ngumi bungeni kuhusiana na mpango kuwaondolea kinga wabunge ya kutoshitakiwa.
Wabunge wakionyeshana umwamba Bungeni nchini Uturuki Ngumi hizo ziliibuka bungeni wakati kamati ya bunge ilipokutana kujadili mabadiliko hayo yanayoungwa mkono na serikali ili kubadili Katiba kuwaondolea kinga hiyo wabunge.
Baadhi ya wabunge walikunjana mashati kwenye meza, wengine wakirusha chupa za maji na kurushiana ngumi bungeni.
Tuesday, May 3, 2016
WABUNGE WATWANGANA NGUMI BUNGENI HUKO UTURUKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment