Tuesday, May 10, 2016

WANAMUZIKI 10 MATAJIRI ZAIDI DUNIANI KWA SASA

1.Andre “Dr. Dre” Young Alianza kupata fedha zaidi pale alipofungua studio na kuanza kutengeneza muziki na wanamuziki wengine.Alianzisha aftermath entertainment na kugundua kipaji cha Eminem.
       Headphones zake za beats zimemuingizia kiasi cha dollar billion 3 baada ya brand yake kununuliwa na Apple. Utajiri wake ni wa dola million 800

   2.Sean “Diddy” Combs Ni mwimbaji, producer,actor na mfanyabiashara.Utajiri wake ni wa dollar 700 million

    3.Shawn corey carter(Jay z) Ni msanii maarufu sana duniani,amewekeza katika makampuni makubwa ya Marekanina pia anatoa scholarship kwa wanafunzi. Ana utajiri wa dollar million 520

    4.Percy"Master P" Miller Ana utajiri wa dollar milioni 350

  5.Bryan “Birdman” Williams Ana umaarufu zaidi miongoni mwa wasanii,ameanzisha vyanzo mbalimbali vya kupata fedha katika orodha hii ni namba  Ana utajiti wa dollar million 170

    6.Marshall "Eminem" Akijulikana kama slim shady,ana utajiri wa dollar million 160.

     7.Curtis “50 Cent” Jackson Ni muimbaji na anajihusisha na kuigiza katika movie, ana utajiri wa dollar million 140.

   8.Dwayne “Lil Wayne” Carter Jr Lil wayne amekuwa millionaire na ana utajiri wa dollar million 135

    9.Kanye Omari West Anafanyakazi katika NGOs mbalimbali, ana utajiri wa dollar million 130

    10.Calvin cordozar Braodus Akijulikana kama snoop dogg ana utajiri wa dollar million 130

No comments:

Post a Comment