APPLE (Tufaha) • Dawa nzuri ya ugonjwa wa moyo •
Hushusha kolestro • Hushusha shinikizo la damu •
Huimarisha kiwango cha sukari katika damu •
Huongeza hamu ya kula • Linakemikali yenye uwezo wa kuzuia saratani •
Juisi yake inaua virusi vinavyoambukiza magonjwa BANANA (NDIZI MBIVU) •
Huzuia na kutibu vidonda vya tumbo •
Hushusha kolestrol katika damu BEANS (MAHARAGE YA AINA ZOTE) •
Hupunguza aina mbaya ya mafuta mwilini •
Hudhibiti kemikali mbaya za saratani •
Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu •
Hushusha shinikizo la damu •
Hurekebisha mwenendo wa utumbo mkubwa •
Huzuia na kutibu ukosefu wa choo •
Huzuia kutokwa damu kwenye haja kubwa (haemorrhoids) na matatizo mengine ya tumbo CABBAGE (KABICHI) •
Hupunguza hatari ya kupata saratani, hasa ya utumbo •
Huzuia na kutibu vidonda vya tumbo (hasa juisi yake) •
Huchangamsha mfumo wa kinga ya mwili •
Huua bakteria na virusi mwilini • Huharakisha ukuaji wa mwili CARROT (KAROTI) •
Inaaminika kuzuia saratani, hasa zitokanazo na uvutaji sigara, ikiwemo saratani ya mapafu. •
Hushusha kolestro katika damu • Huzuia ukosefu wa choo (Constipation) COFFEE (KAHAWA) •
Kahawa si kinywaji cha mtu kupendasana kutumia, lakini kinapotumiwa kwa kiasi kidogo na kwa tahadhari, kina faida zake: •
Huboresha utendaji kazi wa ubongo • Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa asma (asthma) •
Hutoa ahueni kwa wenye homa • Huongeza nishati ya mwili •
Huzuia meno kuoza •
Ina kemikali ambayo huzuia saratani kwa wanyama •
Hutoa uchangamfu CORN (NAFAKA- MAHINDI, MCHELE, N.K) • Zina aina fulani ya kemikali ambazo huzuia saratani •
Hupunguza hatari ya kupatwa na aina fulani za saratani, magonjwa ya moyo na kuoza kwa meno •
Mafuta yake hushusha kolestro mbaya mwilini
No comments:
Post a Comment